Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
KajalaNaumia Mno Mwaka  Unaisha Sijatimiza Malengo Yangu Hata Kidogo 
MKALI wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa, anaona mwaka ndiyo unaisha, lakini bado hajatimiza malengo yake aliyojipangia, jambo ambalo linamuumiza kichwa.

Kajala aliiambia Over Ze Weekend kuwa, mwaka huu haukuwa mzuri kwani vitu vingi vilikuwa haviendi sawa hivyo alijikuta anashindwa kutimiza malengo aliyojiwekea.
“Kiukweli sijatimiza malengo yangu hata kidogo, naumia mno kwa vile pia mwaka ulikuwa mgumu mno na pesa zilikuwa hazionekani,” alisema Kajala.

Post a Comment

 
Top