Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Uwoya.
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo mwigizaji mwenzake, Irene Uwoya.

Shamsa.
Shamsa aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, haogopi matusi yao hata kidogo kwani anaonekana mbaya kwa sababu alisema ukweli ambao upo na wala haupingiki.
“Ninawashangaa sana, mtu ukizungumza ukweli ni shida maana watu wananipigia simu mfululizo wakati jambo lenyewe liko wazi kabisa na ninasisitiza, hakuna mwanamke mzuri Bongo Movies kama Uwoya. Kwa nini hawataki kumpa mtu sifa zake jamani?” alihoji Shamsa.

Post a Comment

 
Top