Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
MUUZA nyago mwenye jina kubwa Bongo, Agness Gerald ‘Masogange; amefunguka kuwa, hakuna mwaka aliopata misukosuko kama 2017 na kujikuta akishindwa kufanya vitu vyake vingine.

Akizungumza na Ijumaa wikienda, Masogange alisema kuwa, muda mwingi alishindwa kwenda kufuata biashara zake kutokana na kukabiliwa na kesi mahakamani hivyo kufanya dili zake nyingi kubuma.
“Bora tu 2017 uishe na mambo mengine yaendelee. Ulikuwa ni mwaka mgumu sana kwangu kwa kila kitu kutokana na kesi inayonikabili (ya matumizi ya madawa ya kulevya), labda mwaka mpya ukianza na mambo mengine yataenda vizuri,” alisema Masogange.

Post a Comment

 
Top