Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva afunguka ujio wa kolabo yake na Wizkid kutoka Nigeria.
Muimbaji huyo wa ngoma ‘Give It To Me’ ameiambia The Playlist ya Times Fm kuwa mwakani kuna uwekano wa kufanyika kolabo hiyo.

“Watengemee kolabo may be Wizkid, alikuwa rafiki yangu lakini tulikuwa tunachati na kukutana naye nafikri nakumbuka ile party Diamond alifanya Mwanza Wizkid alikuja ku-perform hapo ndio nilionana naye kwa mara kwanza” amesema Lulu Diva.
Ameongeza kuwa kwa upande wa Bongo wapo wasanii wengi ambao anawafikiria lakini kwa sasa anatamani kuja kufanya kolabo na Vanessa Mdee.

Post a Comment

 
Top