Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Zena Mustapha ‘Jike Shupa’.
MUUZA nyago aliyejipatia umaarufu kupitia Wimbo wa Jike Shupa wa mwanamuziki Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’, Zena Mustapha ‘Jike Shupa’ amewatolea povu watu wanaomsema kuwa anapenda kuishi na wanaume tata ‘mashoga’

Akizungumza na Star Mix, Jike Shupa alisema kuwa, ni ajabu kwa mtu kumuandama, kisa amekuwa karibu na mashoga badala ya kuendelea na maisha yake na kutatua shida zake.

Post a Comment

 
Top