Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii wa muziki na video queen, Gigy Money baada ya kufanya vizuri na wimbo wake ‘Papa’ ameanza maandalizi ya kuachia kazi yake mpya.

Muimbaji huyo Jumamosi hii aliingia location huku akiwa na model, Calisah kuandaa kazi hiyo mpya ambayo inaonekana ni ya kimahaba zaidi. Video hiyo inaandaliwa na director yayekuja juu kwa kasi, Joowzey. Angalia picha.

 

Post a Comment

 
Top