Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwanamitindo Calisah amedai kuwa toka mwaka huu, 2017 kuanza hajawahi kutumia kondomu.
Calisah amesema kitu hicho si cha kujivunia kwa hata yeye anaogopa kwani magonjwa ni mengi lakini ndio ukweli uliopo katika maisha yake kwa sasa.

“Nisiongope hilo suala na kila siku namuomba Mwenyenzi Mungu anisaidie, kusema ukweli dah! tangu huu mwaka umeanza sijavaa kodomu,” Calisah ameiambia FNL
“Mimi kama mfano wa kuigwa si kamba napotosha watu, ni kwamba nimekosea nasema kwa kijifunza lakini inshallah sitarudia tena hayo makosa kwa sababu magonjwa ni mengi,” amesema.
Hivi karibuni Calisah alishindwa kushiriki mashindano ya Mister Africa International yaliyofanyika Lagos Nigeria, licha ya kutumiwa barua ya mwaliko.

Post a Comment

 
Top