Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
John Mnyika.
MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amesema taarifa kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara hazina ukweli wowote, ni za uzushi na za kutungwa.

Mnyika ambaye amekuwa akitajwa tajwa kwamba atakihama chama hicho, ametoka kauli hiyo baada ya kuwapo taarifa kwamba  amejiuzulu wadhifa huo.
Taarifa hizo za Mnyika kujiuzulu zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii jana Jumanne, Desemba 5,2017 jioni ambapo Mnyika alikanusha na kusema, ‘’Si kweli ni taarifa za uongo.’’

TAARIFA ILIYOSAMBAA MITANDAONI


Post a Comment

 
Top