Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Amsimamisha Kazi Afisa UsafirishajiMkurugenzi wa jiji la Arusha Athuman Kihamia leo December 5, 2017 amemsimamisha kazi Afisa Usafirishaji wa Jiji la Arusha Edward Moriko kwa makosa yakushindwa kusimamia magari ya halmashauri.


Kihamia pia amewasimamisha kazi madereva wawili waliopewa kazi na Afisa huo bila kuwa na mkataba ikiwemo dereva mmojawapo kuangusha gari la halmashauri
“Ndani ya masaa mawili awe amekabidhi ofisi, apewe charge ajibu ndani ya siku kumi na nne ili tuone hatua za kuchukua kuhusu suala hili” – Edward Moriko

Post a Comment

 
Top