Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Jokate, Wema Sepetu Wapata Dili Wizara ya Maliasili na UtaliiWaziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amefanya uteuzi wa wajumbe nane kuunda kamati ya kitaifa ya kuandaa mwezi maalum wa maadhimisho ya urithi wa Tanzania  (Tanzania Heritage Month)


“Tumeongeza idadi ya wajumbe wa Kamati ya Mwezi wa Urithi wa Tanzania (Tanzania Heritage Month) ili kupata uwakilishi wa Zanzibar na Vijana. Kamati hii itafanya kazi ya kuweka sawa wazo hili na kusaidia utekelezaji wake” amesema Dkt. Kigwangalla.

Post a Comment

 
Top