Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Leo ni siku ya Kimataifa ya watu wenye Ulemavu Duniani na ambapo Kitaifa siku hii inaadhimishwa mkoa wa Kusini Unguja. Ambapo mgeni rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.


Makamu wa Rais akipata maelezo kutoka kwa kikundi cha Walemavu kutoka Mwembe Makumbi kinachojishughulisha na kutengeneza viatu wakati alipotembelea maonyesho ya walemavu katika uwanja wa Skuli ya Uzini.Kauli Mbiu ya siku hii ni “Mabadiliko kuelekea jamii jumuishi na maendeleo endelevu kwa wote.”

Post a Comment

 
Top