Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Madabida akiambatana na polisi.
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na wenzake watano wamefutiwa mashtaka ya kusambaza dawa feki za kufubaza makali ya ukimwi (ARV) na kujipatia Sh milioni 148 kwa njia ya udanganyifu na kukamatwa tena.

Madabida na wenzake wamefutiwa mashtaka hayo katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar, na baada ya kukamatwa atasomewa mashtaka mapya.

Post a Comment

 
Top