Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Izzo B Afunguka Sababu ya Kumwaga Chozi Wakati Akitambulisha Ngoma Yake Mpya 
Mwanamuziki wa Hip Hop Izzo Bizness kazungumzia ishu iliyosababisha yeye kutoa machozi kwenye kipindi cha XXL, Clouds FM siku ya jana December 20, 2017 wakati alipokuwa akitambulisha wimbo wake mpya aliomshirikisha mkongwe Juma Nature wimbo unaoitwa “Baraka”.


Izzo Bizness ameleezea sababu na kusema alikuwa yupo kwenye emotion na wakati alipokuwa akitaka kujibu maswali aliyokuwa akiulizwa anapata kumbukumbu ya hustle alizokuwa akizipitia kwenye maisha alafu kuipigania ndoto yake…

"Nilikua kila nikitaka kujibu maswali nilikua yananirudisha nyuma na kukumbuka nilivyokuwa nafanya zile haso katika maisha yangu ya  nyuma na ilikuja automaticall sikutegemea kama ingetokea vile" Izzo B 
 

Post a Comment

 
Top