Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii mkongwe wa muziki, H. Baba ametoa ofa kwa Diamond pindi atakapoamua kufunga ndoa na Mama watoto wake, Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo alipost picha ya wawili hao wakiwa pamoja na kuwamwagia sifa kwamba watapendeza zaidi wakiingia kwenye maisha ndoa.

“Mnyama #Mmependezana #Mnaendana Allah Awasimamie #Ndoa Ifungwe Awe wako kwenye hesabu ya MWENYEZI MUNGU #Ntatoa #Ng‘ombe (watano 5) wakubwa kabisa. wakisukuma #waletwe #DAR #Huondio Uwezo wangu nahicho ndicho nitajaaliwa na MWENYEZI MUNGU #NakutakiaMaandalizi Mema ya NDOA Yako #Hongerenikwakupendana #MSIEMPENDAATATOANG’OMBE (watano)

Naheshimu mahusianoya #MtanzaniaMwenzangu #MIMI NIMZALENDO NIMEKATAA KUWA KAA #Usinilazimishe kwa maneno yako niwe #KAA Narudia tena #NIMEKATAA KUWA #KAA #Watag kama umewajua #Mimi nawafahamu
#NG’OSHA NAKANDEKEJAA
.
MWAKA MPYA NAMAMBO MAPYAAA
Kwa muda mrefu H.Baba amekuwa akionekana kutokubali uwezo wa Diamond kimuziki na kumkubali zaidi Alikiba hali ambayo ilitengeneza mazingira kwamba kwamba wawili hao hawako sawa.

Post a Comment

 
Top