Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

 Mwanasoka bora wa zamani wa dunia, George Weah ameshinda kiti cha uraisi wa Liberia akimshinda mpinzani wake Joseph Boakai kwa kushinda katika counties 13 za nchi hiyo.

Kwa sasa mwanasoka huyo mkongwe anasubiri tu kuapishwa

Historia yake kwa ufupi.
Raisi Mteule wa Liberia
Senator: wa bunge la Liberia 2015
African Footballer of the (1989, 94, 95)
UEFA Champions League Top Scorer: 1994 – 15
1995 Ballon d’Or winner, FIFA World Player of the Year: 1995
1996 FIFA Fair Play Award
IFFHS African Player of the Century: 1996

Post a Comment

 
Top