Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Mtangazaji wa Clouds Fm, Diva amesema amechoshwa na maneno ya kuwa hawawezi kuwa na mtoto.
Diva amesema muda ukifika Mungu atampatia mtoto na hata kuolewa, pia ameshapima na hana tatizo lolote la uzazi. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diva amejibu hilo kwa kuandika;

Sina tatizo lolote la uzazi yaani at all nimepima all this niko poa tu ila pia sitaki being pressured na mtu yoyote kuwa na mtoto, as matter fact mnaosema mimi siwez beba mtoto i tried it once and incase ikitokea I am try it again with yoyote Mungu ataenipangia.
Kuolewa pia ntaolewa na yoyote Mola ataenijalia maana kila kitu hupangwa right?? basi maisha yangu nimeyakabidhi kwa Mungu tu yeye he knows better .. kuna vitu inabidi vitokee in life ili tujue true color za watu.
Katika hatua nyingine Diva ameeleza sababu ya kutomposti mpenzi wake au ndugu zake kwa kueleza ukurasa wake huo ni kwa ajili yake pamoja na mashabiki wake.
  

Post a Comment

 
Top