Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Baba Mzazi wa Diamond Afunguka Kuhusu Zari, Wema na Mobetto  Baba mzazi wa staa kutokea Bongoflevani Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, Mzee Abdul amezungumza kuhusu kuwahi kukutana na Zari ambaye ni mkwe wake aliyezaa na mtoto wake Diamond ambapo amesema hajawahi kuzungumza na ZARI toka amemsikia,  ila Wema Sepetu na Hamisa Mobetto ameshawahi kuongea nao.


Baba wa Diamond amesema kwamba aliwai kuzungumza na Wema Sepetu kwani alishawai kwenda kumtembelea kipindi alipokuwa na Diamond lakini pia amezungumza na Hamissa kipindi alipoenda  kuhudhuria kwenye 40 ya mjukuu wake kwa Hamissa.

Post a Comment

 
Top