Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Watuhumiwa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi eneo la mahakama
…Wakiingizwa katika chumba cha mahabusu mahakamani
RAIA wa Ethiopia zaidi ya kumi leo wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kuwa wahamiaji haramu.

Awali watu hao walifikishwa mahakamani hapo na magari ya Idara ya Uhamiaji ambapo haikufahamika walikamatwa maeneo gani hapa nchini. Lakini habari za kuaminika ni kwamba walikamatwa wakiwa njiani hapa nchini wakiwa hawana hati za kuwaruhusu kuwapo nchini ambapo inaaminika walikuwa wanakwenda Afrika Kusini.

Post a Comment

 
Top