Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
STAA mkali wa filamu Aunt Ezek­iel, ameweka wazi nia yake ya ku­funga ndoa yake ya pili na mzazi mwenzie Moses Iyobo, na kusisisi­tiza kuwa wakati umefika.


Akizingumza na Kilinge, Aunt alisema kuwa muda waliokaa na mzazi mwenzie huyo una­tosha kabisa kufunga naye pingu za maisha, kwa sababu wameshajuana vilivyo.

“Unajua huko nyuma nilikuwa sina wazo kabisa na ndoa lakini sasa n i k o tayari na wakati wow­ote kuanzia sasa watu watasikia,” alisema Aunt am­baye wame­bahatika kuzaa mtoto wa kike n a mcheza dansa huyo.

Ndoa ya kwan­za ya Aunt alifun­ga na Sunday Demonte kab­la ya kuach­ana.

Post a Comment

 
Top