Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mume wa zamani wa Mwigizaji Irene Uwoya, Hamad Ndikumana alifariki ghafla wiki iliyopita huko Rwanda sekunde chache baada ya kuomba soda ya baridi na kunywa ambapo Irene alifanikiwa kusafiri mpaka kwao kwenda kutoa pole kwa familia.

Kwenye hizi picha hapa chini anaonekana akiwa nyumbani kwa kina Ndikumana na ndugu zake na juu ya kaburi la Ndikumana pia ambapo chini mwishoni kuna video fupi ikimuonyesha Irene akipewa baraka na Baba Mzazi wa Ndikumana
Uwoya akiwa na Familia ya Ndikumana
Baada ya taarifa hizo Irene Uwoya alifunga safari baadae na kwenda kutoa pole kwa familia ya Ndikumana ambapo ameonekana akiwa na Mtoto wao Krissh juu ya kaburi la Ndikumana na kuandika “My trust is in you …R.I.P baba krissh”

Post a Comment

 
Top