Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka.
Staa wa Bongo Movie, Rose Ndauka, anaendelea na utaratibu wake aliouanzisha hivi karibuni kwenye akaunti yake ya Instagram wa kutupia kila siku picha za mitego akiwa kwenye mapozi mbalimbali. Mashabiki Wake wamekuwa wakimwaga pongezi kwa muonekano wake mpya ndani ya akaunti yake.


Hapa chini ni baadhi ya pongezi kutoka kwa mashabiki zake Seneta_maids_tzBeautifully @rossendauka
Dayna Exactly darling ur looking so super woow love it @rossendauka
Paschaldon Mmmh.Kweli Mungu fundi aseeee.Yaani @rossendauka ni star by born huna haja ya kick aseeee
La_princess_reque Exactly my sister @rossendauka 
Paschalsolo1 Hengera yako first read karibu gt
Akiwa katika moja ya mapozi yake mwanana
Pozi linaloendana na gauni lake la rangi ya samawati (bluu)
Pozi lililotawaliwa na nywele za ‘kumwaga’ na gauni lenye mvuto mwekundu.
Msuko wa Kiafrika, tabasamu murua na gauni lenye rangirangi, vimeongeza mvuto wake.

Post a Comment

 
Top