Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Lulu Diva ambaye alikuwa ni ‘video queen’ na sasa ni msanii amenaswa akifanya yake na msanii mwenziye Rich Mavoko usiku wa Fiesta uliofanyika Leaders Club hivi karibuni.
Wakiongea jambo.
Wakicheka baada ya kugundua kamera ya Global Publishers.
Wakijinafasi ikwa ajili ya kupigwa picha.

MWANAMUZIKI Lulu Diva amenaswa na msanii mwenziye Rich Mavoko wakiwa katika pozi za kimahaba usiku mnene katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam kwenye shoo ya Fiesta hivi karibuni.

Rich Mavoko alitumia udhaifu wa Lulu na kuanza kumshikashika maeneo mbalimbali ya mwili wake ambaye aliona raha na vicheko kedekede.  Mrembohuyo  hakujali kamera zilizokuwa zikimmulika ndani ya usiku huo mnene, kwani muda wote alikuwa bize akisikilizia mapapaso hayo bila woga.

Naye Mavoko aliyekuwa akimpapasa,  hakuwa nyuma katika kuhakikisha nafasi hiyo haipotei bila kutumika ipasavyo.

Huko nyuma wawili hao waliripotiwa kuwa wapenzi, jambo ambalo walilikanusha kila mara.

Post a Comment

 
Top