Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Wema Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ akiwa katika mapozi tofauti
Akiwa wenye pozi tata.
Akijiweka vyema katika shepu ya kukubalika
                 Staa wa Bongo, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ akiwa mchanuo wa kuvutia
                                  Jokate akiwa kwenye pozi
Staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe ‘Twiga wa Jangwani’ akiwa amepozi kiaina yake.
Akiwa wenye pozi tata.
MASTAA wanaofanya vizuri katika filamu za Bongo, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Jacqueline Wolper wameamua kushindana kwa kutupia picha mpya kwenye akaunti zao kwenye mtandao wa Instagram huku kila mmoja akimwagiwa sifa za kutosha kutoka kwa mashabiki wao. Wema Sepetu amefikisha wafuasi milioni 3.2, Wolper milioni 2.9 na Jokate Mwegelo ana wafuasi milioni 2.8.
Wafuasi hao walisema kwamba Wema ndiye aliyeongoza akifuatiwa na Jacqueline na Jokate wa tatu.

Post a Comment

 
Top