Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Baada ya kutimuliwa Mj Records na Daxo Chali, msanii wa Bongo Fleva NINI ameongea kwa mara ya kwanza kuhusu maisha yake, mahusiano na Nay Wa Mitego , kulazimishwa kufanya mapenzi na Daxo Chali na Kutimuliwa Mj Records.

NINI ANASEMA
Kuhusu kutimuliwa Mj Records> Sijafukuzwa Mj Records, familia yangu ilitaka nisitishe mkataba na lebo hio, mtu mmoja kutoka kwenye familia yangu aliongea na Daxo Chali na baada ya siku chache ndio akatangaza amenifukuza.
Kuhusu mahusiani na Nay Wa Mitego>NINI Anasema ‘Sijawahi kusema natoka na Nay Wa Mitego, atakama ningekuwa naye ilikuwa siri yangu, sijawahi kumtamkia Daxo Chali kuwa natoka na Nay wa Mitego, yeye ndio alikuza jambo hili’.
Kuhusu Mimba>Sina mimba ya Nay Wa MItego, Sijawahi kumuita baba kijacho, Daxo ndio alianza kukuza hii stori ya Mimba, Nay wa Mitego ni mshkaji wangu tu.
Kuhusu kusajiliwa Mj Records>Sijasajiliwa na lebo yoyote, niko huru kufanya kazi na mtu yoyote.

Post a Comment

 
Top