Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Staa mwenye nyo­ta kali Bongo, Wema Sepetu, amefunguka kuwa hakuna kitu kinachomnyima usingizi kila siku kama kesi yake ambayo in­amkabili hivi sasa ya kudaiwa kujihusisha na matumizi ya madawa ya kulevya.
Akichonga na K i l i n g e , Wema alise­ma: “Yaani kiukweli kabisa kesi inaninyima sana usingizi jamani, nakosa amani na wakati mwingine hata ukitaka ku­badilisha hali ya hewa nje ya nchi haiwezekani, in­aumiza sana.”

Post a Comment

 
Top