Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kuwa Balozi hapa nchini. Picha na Jeshi la Polisi.

Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke, akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya jeshi hilo leo jijini Dar es salaam kwa lengo la kujitambulisha tangu alipoteuliwa kuwa Balozi hapa nchini na kuahidi serikali ya nchi yake itaendelea kushirikiana na jeshi hilo. Picha na Jeshi la Polisi.

Post a Comment

 
Top