Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Haji Manara Afunguka Nia Yake ya Kugombea Urais wa NchiMsemaji wa Klabu ya Soka ya Simba Haji Manara, amesema anampango wa kugombea urais na anaamini atafanikiwa.
Haji Manara amesema kazi zake anazofanya sasa zimemfanya aache hesima kubwa, kitu ambacho kinampa ujasiri wa kufikia uamuzi huo.
“Unajua mi nakwenda kuwa rais wa nchi siku moja, mimi nakwambia Mungu akinipa uhai na majaliwa, nakwenda kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania”, amesema Haji Manara.
Msikilize hapa chini na akitaja watu gani hatawaweka kwenye baraza lake la mawaziri.

Post a Comment

 
Top