Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
MBUNGE  wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kusini (2010-2015), David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kutokana na kutokuwa na imani na upinzani katika kupambana na ufisadi.

Kafulila aliwahi kuwa mwanachama wa NCCR-Mageuzi na kushinda nafasi ya ubungewa jimbo hilo na alikuwa ndiye mbunge aliyeongoza suala la utafunaji wa fedha za Escrow, fedha ambazo ziligawanywa kwa watu wa matabaka mbalimbali serikalini na maeneo mengine.
Katika uchaguzi uliopita, Kafulila aligombea tena ubunge lakini alishindwa na alipofungua kesi kupinga matokeo hayo bado alishindwa mahakamani. Hii hapa chini ndo barua yake.

Post a Comment

 
Top