Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Ben Pol Amjibu TID " Amenikosea Heshima Amnitake Radhi" 
Unalikumbuka povu la msanii mkongwe wa muziki, TID juu ya Ben Pol baada ya muimbaji huyo wa R&B kutumia kiitiko cha wimbo ‘Nyota Yangu’ cha muimbaji huyo kwenye show yake ndani ya Tamasha la Fiesta? Sasa Ben Pol amejibu mapigo tena kwa kumtaka mkongwe huyo wa muziki kumtaka radhi kutokana na kauli yake.
 TID alikiambia kituo cha radio cha EA kuwa atazungumza na wakubwa wake pamoja na wanasheria wake ili kumchukulia hatua Ben Pol. 

Post a Comment

 
Top