Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Alikiba na Abdukiba Kwenye Kolabo ya Pamoja Kuachia Nyimbo Mpya KeshoBaada ya kimya cha muda mrefu wakali kutokea Bongoflevani Alikiba na Abdukiba ambao ni ndugu wa damu wameamua kurudi tena kwenye headlines za bongofleva baada ya kujiandaa kuachia wimbo wao mpya.

Uthibitisho wa kuachia wimbo huo umepatikana baada ya Alikiba na Abdukiba kupost kupitia mitandao yao ya Instagram kwa kuahidi kuwa wataachia Audio na Video kwa pamoja siku ya Alhamisi hii, ambapo Abdukiba ameandika…>>>“The long wait is almost over!!!!King’s Music presents @officialabdukibaanew single featuring @officialalikiba – Audio & Video zinadondoka Alhamisi hii. Subscribe to AbduKiba youtube channel uwe wa kwanza kuiona video ya #Singledirected by @hanscana_#SupportedByKiba#KingKiba..” – Abdukiba


Post a Comment

 
Top