Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Alichokisema Ridhiwan Kikwete Baada ya Mama Samia Kumtembelea Tundu Lissu Hospitali 
Mbunge wa Chalinze kupitia CCM ambaye pia ni mtoto wa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, ameonehsa kuguswa na kutoa yake ya moyoni baada ya Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kwenda kumuona Tundu Lissu hospitali.


Kwenye ukurasa wake wa instagram Ridhiwani Kikwete ameandika ujumbe akisema kuwa Mama Samia ameonesha kuguswa kama mzazi kwa kitendo alichokifanya cha kwenda kumuona mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antiphas Lissu.
"Sura yake Makamu wa Rais Mama Samiah Hassan inaonyesha kuguswa kama Mzazi. Wewe ni mzazi na Mungu aibariki Tanzania", ameandika Ridhiwani.
Hapo jana Makamu wa Rais mama Samia Suluhu alikwenda hospitali hapo kumuona Tundu Lissu ambaye amelzwa tangu Septemba 7 mwaka huu, baada ya kupigwa risasi na kujeruhiwa vibaya


Post a Comment

 
Top