Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Tobo la muziki wa Diamond Platnumz kupenya nchini Marekani linazidi kupanuka.

Sasa hutakiwi kushangaa endapo utasikia ngoma mpya kutoka kwa msanii huyo wa WCB akiwa na mtayarishaji mkubwa wa muziki duniani, Swizz Beatz ambaye pia ni mume wa msanii maarufu Alicia Keys.


Kupitia video ambayo Diamond ameiweka kwenye mtandao wake wa Instagram, Beatz ame-comment na kuonyesha kuwa tayari kuna uwezekano wameshafanya ngoma mpya. “@diamondplatnumz Happy Birthday my brother I can’t wait until we kill a track soon!!!! HBD Chibu” ameandika Beatz.

Post a Comment

 
Top