Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Siku ya Jana September 14, 2017 kulitokea gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya uvumi kusambaa kuwa Staa wa Bongo Diamond Platnumz anatoka kimapenzi na aliyekuwa Mshindi wa show ya Big Brother Africa 2013 Dillish Mathews ambapo wawili hao walioneka huko visiwani Zanzibar.
Baaya ya gumzo hili kwenye mitandao hiyo ya kijamii mpenzi wa Diamond ambaye pia ni mama watoto wake Zari the Boss Lady jana hiyo hiyo usiku aliandika kwenye mtandao wa snapchat kuwa yeye hana haja ya kugombania wanaume na kwamba focus yake kubwa ni jinsi ya kujiingizia pesa.

Post a Comment

 
Top