Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mrembo Hamisa Mobetto ambaye anadaiwa kuzaa na muimbaji Diamond Platnumz, September 15 2017 ameingia kwenye headlines baada ya kusambaa kwa direct message ambazo zinadaiwa kuwa ametumiwa na Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond.Kilichosambaa katika social network ni screenshot za chat za Zari alizomtumia Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa instagram akionekana kumuandikia maneno ya ukali.

Post a Comment

 
Top