Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Jana September 7, 2017 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana baada ya kushambulia gari lake akiwa nyumbani muda mfupi baada ya kumaliza shughuli za Bunge Dodoma.
Tukio hilo limegusa hisia za watu wengi huku vyombo mbalimbali vya habari vikiripoti tukio hilo kwa namna ya pekee ambapo katika kuhakikisha taarifa zinasambaa duniani kote mitandao mingi ya kimataifa imerusha habari hii wakiziandikia headlines mbalimbali lakini iliyoonesha kusikitishwa na tukio hilo.

ALJAZEERADAILY NATIONREUTERSABC NEWSNEW VISIONJEUNE AFRIQUEFOX NEWS WORLDM

Post a Comment

 
Top