Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msanii wa Bongo Flava, Malaika ameleeza sababu kuchora tattoo katika mwili wake na maana zake.
Muimbaji huyo ambaye ana tattoo mbili ambazo zipo katika mkono na mguu amesema pindi anapovutia na ua la aina yoyote hupenda kuchora.Kuhusu tattoo I don’t know nimejikuta tu nimependa tu tattoo, hazinaga maana yoyote ninapoona kuna au nimelipenda nachora.” Malaika ameiambia Bongo5.Tattoo yangu ya mguu naipendaga kwa sababu nikiwa naingalia nahisi kama ni manyoya yanapita nakuishi huko juu na mambo mengine yanaendelea,” ameongeza.Post a Comment

 
Top