Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mbunge mteuliwa wa CUF, Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Marehemu Bi Hindu alikuwa ni miongoni mwa wabunge wapya waliotangazwa na Tume ya Uchaguzi kuchukua nafasi ya wabunge 8 ambao walivuliwa uanachama na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba

Post a Comment

 
Top