Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Mwanza limefanikiwa kukusanya fedha Tsh Bilioni 1.8 katika kipindi cha miezi saba kuanzia January hadi July 2017, kutokana na makosa ya Barabarani.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ahmed Msangi amesema kwa kipindi cha kuanzia January hadi June 2017 kulikuwa na matukio 63,238 ambayo yanajumuisha ajali na ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani.

Post a Comment

 
Top