Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Spika Bunge, Job Ndugai.
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amewatadharisha wabunge kuwa makini na usalama wao mahali popote wanapokwenda kufuatia matukio mengi ya uhalifu
nchini. Akizungumza muda mfupi leo Ijumaa, Septemba 15,kabla ya kuahirishwa kwa Bunge, Ndugai aliwataka wabunge kutokaa sana katika mabaa.
“Yaani tuchukue hatua tu katika maisha yetu, kama mnavyosikia matukio ni mengi katika nchi yetu. Ni vizuri usalama unaanza na wewe mwenyewe kwanza,” amesema.

Post a Comment

 
Top