Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akiagana na Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma baada ya kumaliza kwa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (katikati) akishikana mikono na viongozi wa Mihimili ya nchi katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Kushoto ni Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Mihimili ya nchi baada ya kumalizika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Kushoto ni Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu, Mhe. Prof. Ibrahim Juma iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli, wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (kulia) akisalimiana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia nyuma ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na katika ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. John P. Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Post a Comment

 
Top