Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwimbaji Shilole sasa hivi kwenye Exclusive Interview anayomzungumzia mpenzi wake mpya aitwae Uchebe, Mwanamke anaelalamika Shilole kamuibia Mwanaume, ambapo Shilole amedai kuwa yule ni mtalaka wa mpenzi wake na walishaachana na uchebe.
Mbali na hilo Shilole pia amebainisha kuwa yupo tayari kumlea mtoto wa Uchebe aliyezaa na mtalaka wake iwapo mwanaume huyo atataka iwe hivyo.

Post a Comment

 
Top