Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mapema Leo Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza Kamati ya ulinzi kumhoji Saed Kubenea kuthibitisha uongo wa spika juu ya tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi.
Spika huyo ameagiza kwa namna yoyote ile Kubenea awe amewasili Dodoma siku ya kesho kwa ajili ya Kuhojiwa.Kubenea yupo nchini Kenya, Nairobi kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki ambaye alipigwa Risasi wiki jana
"Naambiwa spika wa Bunge, Job Ndugai ananitafuta... Mwambieni niko hapa.... Nipo Nairobi kushughulikia matibabu ya Mbunge mwenzetu, ndugu na rafiki yangu Tundu Lissu " AmesemaSaed Kubenea

Post a Comment

 
Top