Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msanii wa muziki Bongo, Roma amedai kuwa kiki zinaweza kuwa na mchango fulani katika muziki wa msanii.Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ‘Zimbabwe’ ameiambia Radio Maisha kuwa ingawa zina mchango ila zifanyike kwa kiasiSana sana inasaidia, sema inatengemea unaifanyaje ikifeli inakuwa mbaya zaidi, ukianza nayo inabiki uwe na ule mwendelezo, yaani baada ya hapo ifuate nyingine na nyingine usirudi tena ukawa wa kawaida,” amesema Roma.
“Unafanya ndio entertainment industry yetu ipo hivyo inataka vitu hivyo sema kuna vingine vinaboa, halafu kuna nyingine unajua hizi hapa ni za uongo kabisa,” ameongeza.

Post a Comment

 
Top