Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amefanikiwa kukutana na Waziri wa Muungano wa Wanawake na Maendeleo ya Watoto nchini India, Maneka Gandhi.
Mhe Kikwete yupo nchini India ambapo ametembelea kwa ajili ya ziara zake za kikazi ambapo akiwa nchini humo Jumatano hii, amemtembelea Brig.Gen. Mstaafu Mbena mjini New Delhi ambapo anapatiwa matibabu.Hizi ni baadhi ya picha za rais huyo mstaafu akiwa nchini India.Post a Comment

 
Top