Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wamepiga magoti wakati wakiombewa na Maaskofu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Magomeni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli, leo wameungana na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Usharika wa Magomeni Mwembechai kusali katika Ibada ya Sabato.
Rais Magufuli akimsikiliza Waziri Mstaafu wa Awamu ya Nne, Steven Masatu Wasira wakati wa kuchangia Harambee ya Ujenzi wa Kanisa hilo.
Rais Magufuli na mkewe waakikabidhi mifuko 400 ya saruji itakayotumika katika ujenzi wa Kanisa hilo.
Rais Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakijumuika na waumini wa Kanisa hilo kusali Ibada ya Sabato.

Post a Comment

 
Top