Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mkali wa Tang twist bongo, Quick Rocka ameamua kunyoosha malezo kuhusu mahusiano aliyonayo na msanii wa filamu Bongo Kajala Masanja.
msanii huyo amekanusha taarifa ziliokuwa zikitrending kwa muda mrefu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na mrembo huyo mpaka ikapelekea kuchora Tatoo ya jina lake.Sijachora tatoo ya Kajala nitetesi tu, we friends tumefanya kazi nyingi movies, series na vitu kama hivyo hakuna kitu deeper zaidi ya hapo hivyo ni vitu tu vinatengenezwa just a rumours watu wanatengeneza na mapicha yao,” amesma Quick.
Mnamo mwaka 2015 wawili hao waliwahi kuposti video wakiwa katika mahaba mazito ya kimapenzi na Quick aliwahi kukiriri ku’date’ na mrembo huyo.

Post a Comment

 
Top