Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mbunge wa Singida, Lazaro Nyalandu (CCM) akiwa na Wabunge wa CHADEMA wakiwemo Godbless Lema na Peter Msigwa, alipoenda hospitali kumjulia hali Tundu Lissu huko Nairobi. - Lazaro Nyalandu na Tundu Lissu wote ni wabunge wanaowakilisha Wananchi wa Mkoa wa Singida kupitia Majimbo tofauti ambapo Tundu Lissu anawakilisha Jimbo la Singida Mashariki na Lazaro Nyalandu anawakilisha Singida Kaskazini.

Post a Comment

 
Top