Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Image result for NAY WA MITEGO
Moja ya ishu ambazo zimekuwa zikijadiliwa kila siku hasa katika muziki wa Bongofleva ni kuhusu beef ambazo mara nyingi zimekuwa zikiwafanya baadhi ya wasanii kuingia katika malumbano kwa kurushiana maneno machafu na wakati mwingine hata kutungiana mashairi kwa ajili ya kutambiana.
 zimemtafuta mwimbaji staa wa Bongofleva ambaye mara kadhaa amekuwa akidaiwa kuingia kwenye migogoro na wasanii wengine kutokana na nature ya nyimbo zake, Nay Wa Mitego ‘True Boy’ ambaye kaulizwa kuhusu beef na kutoa majibu.

Post a Comment

 
Top