Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kama utakumbuka mwishoni mwa wiki iliyopita mwimbaji wa kike kutoka Bongoflevani Vanessa Mdee aliperform kwenye stage ya Fiesta 2017 Arusha na wakati anatoa burudani mashabiki walikuwa wanashangilia kwa kulitaja jina la staa mwingine Jux ambaye alikuwa mpenzi wake wakitegemea angepanda jukwaani ili waimbe pamoja.
Pamoja na hilo Ayo tv imempata mwimbaji Vanessa Mdee na kumuhoji backstage ambapo moja ya maswali aliyoulizwa ni kuhusu habari za kumpata boyfriend mpya kutoka WCB.

Post a Comment

 
Top