Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Msanii Gigy Money amewatolea povu watu waliokuwa wanamsema kuwa amedanganya gharama za nguo alizovaa kwenye tukio moja hapa mjini, na kusema kwamba kiasi cha gahrama hizo ni za ukweli na anayehitaji uthibitisho yuko tayari kumpelekea aguse
Gigy Money amesema kila alichokisema pale alikimaanisha na kina ukweli mtupu, hivyo watu wasifananishe na vitu wanavyonunua kwa bei rahisi na vitu alivyovaa yeye.
Akiendelea kutema povu hilo Gigy Money amesema inawezekana vitu hivyo ikiwemo viatu na nywele za bandia kweli vikawepo kwa bei tofauti, lakini ambayo utavipata kwa bei rahisi sio origin, na kama hawaamini waangalie kwenye mtandao.

Post a Comment

 
Top